Welcome Zanzibar Public Leaders' Ethics Commission.

Welcome to the official website of the Zanzibar Public Leaders’ Ethics Commission (Ethics Commission).  The Ethics Commission is an independent agency of the Zanzibar Revolutionary Government responsible for implementation and enforcement of the Zanzibar Public Leaders’ Code of Ethics Act, No. 4 of 2015 which requires all public leaders to make declaration of their asse

Read More

Kupokea Tamko
Kupokea Tamko

Kupokea, Kusajili na Kuhifadhi Tamko la Taarifa za Mali na Madeni linalowasilishwa na Kiongozi wa Umma.

Kufanya Ukaguzi
Kufanya Ukaguzi

Kufanya ukaguzi unaohusu Tamko la Mali na Madeni lililowasilishwa na kiongozi wa Umma.

Kupokea Tuhuma
Kupokea Tuhuma

Kupokea tuhuma na taarifa za uvunjwaji wa Maadili kutoka wa wananchi.

Tamko la Kwanza

Viongozi wa Umma wanatakiwa kuwasilisha Tamko la Kwanza la Mali, Madeni na Maslahi mara baada ya kuteuliwa au kuingia madarakani kwa mujibu wa sheria.

Kubadilika Uteuzi

Kiongozi wa Umma anatakiwa kuwasilisha tamko jipya endapo atabadilisha wadhifa, cheo au taasisi kutokana na uteuzi mpya.

Tamko la Kustaafu

Kiongozi wa Umma anatakiwa kuwasilisha Tamko la Kustaafu la Mali, Madeni na Maslahi baada ya kumaliza au kuacha kushika wadhifa wa umma.

Tamko la Kutenguliwa

Tamko hili huwasilishwa pale kiongozi anapotenguliwa au kuondolewa madarakani kwa mujibu wa sheria na taratibu husika.

Tamko la Zawadi

Taarifa za zawadi zinazopokelewa na Viongozi wa Umma huwasilishwa ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji na kuzuia migongano ya maslahi.

Mgongano wa Kimaslahi

Wasilisha taarifa za mgongano wa kimaslahi ili kuhakikisha maamuzi ya viongozi yanafanyika kwa uwazi, uadilifu na bila upendeleo.
Do you have any complaints?
Send us message!

Staff Personnel

The Commission consists of a Chairperson and two other Commissioners appointed by the President of Zanzibar under sections 5 and 6 of the Act. The term of office for the Chairman and commissioners is five years. However, a person may be appointed consecutively to more than one term on the Commission. Read More

Mahadhi J. Maalim
Chairman

Mahadhi J. Maalim

Welcome to the official website of the Zanzibar Public Leaders’ Ethics Commission.

Kombo H. Juma
Commissioner

Kombo H. Juma

Welcome to the official website of the Zanzibar Public Leaders’ Ethics Commission.

Maua A. Daftari
Commissioner

Maua A. Daftari

Welcome to the official website of the Zanzibar Public Leaders’ Ethics Commission.

 

History

Legal Status and History


 

 

The News

Oct 23, 2023
Masheha na Madiwani wasisitizwa kufuata maadili - DC

Masheha na Madiwani wasisitizwa kufuata maadili - DC

Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini ‘B’, Hamid Seif Said, amesema ipo haja kwa kila Kiongozi wa Umma kukamilisha taratibu zilizowekwa naTume ya Maadili hasa katika suala la kujaza fomu za maadili. Mkuu huyo alisema hayo wakati a...
May 23, 2023
Kamati ya BLW yaridhishwa na utendaji wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma

Kamati ya BLW yaridhishwa na utendaji wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma

Kamati ya Kudumu ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi imeelezea kuridhishwa na taarifa ya utekelezaji wa kazi za Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika kipindi cha Januari hadi Mac...