Zanzibar Public Leaders Ethics Commission

Mon - Fri: 7:30 - 3:30

zaplec@ethicscommission.go.tz

Vuga Street, Zanzibar

+255-24-2235535

Unguja's Office

+255-24-2452716

Pemba's Office
Index Page

Public Leaders

PUBLIC LEADERS IN ACCORDANCE WITH THE FIRST SCHEDULE

(Made under section 3)

In accordance with section 3 of the Zanzibar Public Leaders’ Code of Ethics Act, No. 4 of 2015, Public leader means:

The list of Public leaders, in accordance with the First Schedule of the Zanzibar Public Leaders’ Code of Ethics Act, No. 4 of 2015, is as follows:

1.Rais wa Zanzibar
2.Makamu wa Kwanza wa Rais
3.Makamu wa Pili wa Rais
4.Jaji Mkuu
5.Spika, Naibu Spika na Katibu wa Baraza la Wawakilishi
6.Waziri na Naibu Waziri
7.Mwanasheria Mkuu na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali
8.Kadhi Mkuu, Naibu Kadhi Mkuu na Kadhi wa Mahkama ya Kadhi
9.Mufti, Naibu Mufti, Katibu wa Mufti na Naibu Katibu wa Mufti
10.Jaji wa Mahkama Kuu na Hakimu wa Mahkama wa ngazi zote
11.Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi
12.Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi
13.Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya
14.Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu
15.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
16.Mkurugenzi wa Mashtaka na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka
17.Mtakwimu Mkuu wa Serikali
18.Mhasibu Mkuu wa Serikali na Naibu Mhasibu Mkuu wa Serikali
19.Mkemia Mkuu wa Serikali na Mfamasia Mkuu
20.Kamishna na Naibu Kamishna wa Tume,Kamisheni. Idara na Taasisi nyengine za Serikali
21.Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi. Bodi ya Ushauri. Baraza na Bodi nyengine za Taasisi za Serikali ambaye ni Muajiriwa wa SMZ
22.Mshauri wa Rais, Mshauri wa Makamu wa Rais na Mshauri wa Waziri
23.Katibu wa Rais, Naibu Katibu wa Rais, Msaidizi wa Rais na Naibu Msaidizi wa Rais
24.Katibu Mtendaji, Katibu na Naibu Katibu wa Tume, Kamisheni, Baraza na Taasisi nyengine za SMZ
25.Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu, Naibu Makamu
26.Mkuu wa Chuo Kikuu na Mkuu wa Skuli wa Chuo Kikuu cha Umma
27.Mkuu wa Chuo au Taasisi ya Umma
28.Mrajis, Naibu Mrajis wa Mahkama Kuu na Mtendaji Mkuu wa Mahkama
29.Mkurugenzi Mkuu, Naibu Mkurugenzi Mkuu,Mkurugenzi Mtendaji, Naibu Mkurugenzi Mtendaji.
30.Mkurugenzi Mwendeshaji, Naibu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Umma, Bodi, Wakala na Taasisi nyengine za SMZ
31.Mkurugenzi na Naibu Mkurugenzi wa Jiji, Mkurugenzi na Mkurugenzi Msaidizi wa Baraza la Mji na Mkurugenzi na Mkurugenzi Msaidizi wa Halmashauri ya Wilaya Mrajis na Naibu Mrajis wa Tume, Bodi, Wakala,Baraza, Shirika la Umma na Taasisi nyengine za SMZ
32.Meneja Mkuu. Meneja na Mkuu wa Shifika la Umma Zanzibar
33.Meya, Naibu Meya, Diwani na Sheha
34.Katibu Tawala na Msaidizi Katibu Tawala wa Mkoa na Katibu Tawala na Msaidii Katibu Tawala wa Wilaya
35.Afisa Mdhamini wa Wizara na Taasisi nyengine za SMZ
36.Mwenyekiti wa Tume, Bodi ya Wakurugenzi, Bodi ya Ushauri, Wakala, Baraza na Taasisi nyengine za SMZ
37.Katibu, Naibu Katibu wa Makamu wa Kwanza wa Rais na Makamu wa Pili wa Rais na Msaidizi wa Makamu wa Kwanza wa Rais na Makarnu wa Pili wa Rais
38.Ofisa wa Sekretarieti wa Baraza la Mapinduzi
39.Mhasibu Mkuu, Msaidizi Mhasibu Mkuu, Mhasibu wa Hazina na Mhasibu wa Voti wa Wizara, Idara na Taasisi nyengine za Serikali
40.Mkaguzi Mkuu na Msaidizi Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Wizara, Idara na Taasisi nyengine za SMZ
41.Afisa Kodi kutoka katika Taasisi ya ukuSanyajiwa mapato ya SMZ
42.Katibu wa Bodi ya Zabuni na Mkuu wa Kitengo Cha Ununuzi na Uondoshaji wa Mali za Umma wa Wizara, Idara na Taasisi nyengine za SMZ.
43.Afisa Dhamana wa Taasisi zinazojitegemea na Mashirika ya Umma
44.Mkuu wa Idara Maalum, Naibu Mkuu Wa Idara Maalum, Mkuu wa Utawala, Mkuu wa Kamandi na Mkuu wa Zoni wa Idara Maalum za SMZ
45.Meneja, Meneja Msaidizi, Mkurugenzi; Naibu Mkurugenzi, Mkuu wa Idara, Afisa Dhamana anayeteuliwa na Bodi ya Wakurugenzi, Bodi ya Ushauri, Tume, Baraza ‘hame au Taasisi nyengine za SMZ
46.Katibu wa Bodi anayeteuliwa na Bodi ya Wakurugenzi, Bodi ya Ushauri, Tume, Baraza au Taasisi nyengine za SMZ
47.Wateule wengine wa Rais na Waziri