Zanzibar Public Leaders Ethics Commission

Mon - Fri: 7:30 - 3:30

zaplec@ethicscommission.go.tz

Vuga Street, Zanzibar

+255-24-2235535

Unguja's Office

+255-24-2452716

Pemba's Office

Our News

Latest News

Masheha na Madiwani wasisitizwa kufuata maadili - DC

Masheha na Madiwani wasisitizwa kufuata maadili - DC

Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini ‘B’, Hamid Seif Said, amesema ipo haja kwa kila Kiongozi wa Umma kukamilisha taratibu zilizowekwa naTume ya Maadili hasa katika suala la kujaza fomu za maadili. Mkuu huyo alisema hayo wakati akifungua mkutano wa siku moja uliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Mji Kaskazini “B” uliowakutanisha Masheha na Madiwani wa Wila...

Read more “Masheha na Madiwani wasisitizwa kufuata maadili - DC”

Kamati ya BLW yaridhishwa na utendaji wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma

Kamati ya BLW yaridhishwa na utendaji wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma

Kamati ya Kudumu ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi imeelezea kuridhishwa na taarifa ya utekelezaji wa kazi za Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika kipindi cha Januari hadi Machi 2023, na kuitaka Tume hiyo kuendelea kufanyakazi kwa uadilifu ili kuimarisha dhana ya Utawala bora nchini. Mwenyekiti wa kamati...

Read more “Kamati ya BLW yaridhishwa na utendaji wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma”

Masheha na Madiwani wapewa somo la Maadili ya uongozi

Masheha na Madiwani wapewa somo la Maadili ya uongozi

VIONGOZI na Watumishi wa Umma, wametakiwa kufuata misingi na maadili ya Umma, ili kuleta maendeleo na kuimarisha utawala bora nchini. Akitoa mafunzo ya Maadili ya Uongozi kwa Masheha na Madiwani wa Wilaya ya Mjini Unguja, huko katika ukumbi wa skuli ya Lumumba Mjini Unguja. Ofisa Usajili Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, Abdulatif Al...

Read more “Masheha na Madiwani wapewa somo la Maadili ya uongozi”

Wahariri watakiwa kuacha kufanya kazi kwa shinikizo na ushawishi

Wahariri watakiwa kuacha kufanya kazi kwa shinikizo na ushawishi

WAANDISHI wametakiwa kuyaibua matendo maovu yanayofanywa na viongozi wa umma ili kuiepusha jamii kukosa haki zao za msingi na kushamiri kwa rushwa katika jamii. Afisa Uhusianao na Elimu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, ndugu Haji Juma Chapa ameyasema hayo wakati akiwasilisha mada ya Jukumu la Wahariri wa Vyombo vya Habari katika ...

Read more “Wahariri watakiwa kuacha kufanya kazi kwa shinikizo na ushawishi”