Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini âBâ, Hamid Seif Said, amesema ipo haja kwa kila Kiongozi wa Umma kukamilisha taratibu zilizowekwa naTume ya Maadili hasa katika suala la kujaza fomu za maadili. Mkuu huyo alisema hayo wakati akifungua mkutano wa siku moja uliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Mji Kaskazini âBâ uliowakutanisha Masheha na Madiwani wa Wila...
Read more âMasheha na Madiwani wasisitizwa kufuata maadili - DCâ